Food English:Swahili How much are these?:hizi bei gani? How much is this?:hii bei gani? food:chakula water:maji chicken:kuku fish:samaki beef:nyama ya ng'ombe pork:nyama ya nguruwe veal:nyama ya mdama goat:nyama ya mbuzi sheep or lamb:nyama ya kondoo shrimp:kamba or kamba mdogo lobster:kamba or kamba mkubwa crab:kaa shark:papa grouper:tewa rice:mchele salt:chumvi sugar:sukari coffee:kahawa tea:chai egg:yai (pl: mayai) vegetables:mboga fruit:matunda potatoes:viazi onions:vitunguu spinach:mchicha cabbage:kabichi carrots:karoti tomatoes:nyanya lettuce:salad unripe coconut(for drinking):dafu ripe coconut:nazi limes:ndimu papayas:paipai mangoes:maembe bananas:ndizi oranges:machungwa pineapples:mananasi grapefruits:madanzi or mabalungi passion fruit:pasheni watermelon:tikiti or tango dates:tende sugar cane:miwa Where is a restaurant?:wapi hoteli ya chakula? I would like ....:nataka .... and also ....:na .... pia What will you drink?:utakunywa nini? How much do I owe?:deni yangu ngapi? drinking water:maji ya kunywa cold water:maji baridi hot water:maji ya moto fruit juice:maji ya tamu orange juice:maji ya machungwa lime juice:maji ya ndimu pineapple juice:maji ya nanasi beer:bia or pombe cold:baridi warm:moto local alcoholic brews:pombe or tembo bottle:chupa opener:kifunguo rice and meat dish:biriani -with goat meat: ya mbuzi -with chicken: ya kuku -with fish: ya samaki rice and meat cooked together:pilau or plau curry:mchuzi or kari chicken curry:mchuzi wa kuku beef curry:mchuzi wa ng'ombe mincemeat (ground meat):kima Indian flat bread:chapati beef stew:karanga soup:supu chicken soup:supu ya kuku roast meat on a skewer:mishkaki or mishakiki roast ground meat on a skewer:kababu or kofta kabab egg bread (fried with meat onions and spices):mkate wa mayai fried pie with meat and vegetables:samosa or sambusa with vegetables:ya mboga with meat:ya nyama teaspoon:kijiko soupspoon:kijiko cha supu fork:uma knife:kisu cloth napkin:kitambaa paper napkin:karatasi ya mkono plate:sahani glass:glasi or bilauri cup:kikombe tray:sinia