Hours English:Swahili daybreak:alfajiri morning:asubuhi noon:mchana afternoon:alasiri evening:jioni night:usiku 1 am:saa saba ya usiku 2 am:saa nane ya usiku 3 am:saa tisa ya usiku 4 am:saa kumi ya usiku 5 am:saa kumi na moja ya usiku 6 am:saa kumi na mbili ya asubuhi 7 am:saa moja ya asubuhi 8 am:saa mbili ya asubuhi 9 am:saa tatu ya asubuhi 10 am:saa nne ya asubuhi 11 am:saa tano ya asubuhi 12 noon:saa sita ya mchana 1 pm:saa saba ya mchana 2 pm:saa nane ya alasiri 3 pm:saa tisa ya alasiri 4 pm:saa kumi ya alasiri 5 pm:saa kumi na moja ya jioni 6 pm:saa kumi na mbili ya jioni 7 pm:saa moja ya jioni 8 pm:saa mbili ya usiku 9 pm:saa tatu ya usiku 10 pm:saa nne ya usiku 11 pm:saa tano ya usiku 12 midnight:saa sita ya usiku