Numbers English:Swahili 0:sifuri 1:moja 2:mbili 3:tatu 4:nne 5:tano 6:sita 7:saba 8:nane 9:tisa 10:kumi 11:kumi na moja 12:kumi na mbili 13:kumi na tatu 14:kumi na nne 15:kumi na tano 16:kumi na sita 17:kumi na saba 18:kumi na nane 19:kumi na tisa 20:ishirini 21:ishirini na moja 22:ishirini na mbili 30:thelathini 31:thelathini na moja 40:arobaini 50:hamsini 60:sitini 70:sabini 80:themanini 90:tisini 100:mia 101:mia na moja 106:mia na sita 154:mia na hamsini na tano 200:mia mbili 300:mia tatu 1000:elfu 2000:elfu mbili 100 000:laki 1 000 000:milioni one quarter (1/4):robo one half (1/2):nusu first:ya kwanza second:ya pili third:ya tatu fourth:ya nne fifth:ya tano sixth:ya sita seventh:ya saba eighth:ya nane ninth:ya tisa tenth:ya kumi